Pengo la fedha latishia mapambano dhidi ya kifua kikuu
Dar es Salaam. Uwekezaji wa fedha katika kushughulikia ugonjwa wa kifua kikuu (TB) nchini Tanzania bado haujitoshelezi, hali inayochangia kuendelea kuwepo kwa maambukizi mapya na vifo vinavyoweza kuzuilika, licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali na wadau wa maendeleo. Takwimu zinaonesha Tanzania inachangia takribani asilimia 22 pekee ya fedha zote za mapambano dhidi ya TB,…