Mbinu za kuokoa mabilioni yanayopotea katika ucheleweshaji wa miradi
Wakati ucheleweshaji wa miradi ya maendeleo inayosimamiwa na taasisi za umma ukiendelea kuwagharimu walipa kodi, wadau wa sekta ya ujenzi wameshauri mbinu mbalimbali za kuepukana na hasara hiyo. Mara kwa mara taarifa za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) zimekuwa zikieleza kuwa hasara hiyo inatokana na kutokuzingatia vifungu 14.7(c) na…