MAKAMU WA PILI WA RAIS SMZ AWAONYA WANAOKWEPA KODI
Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdullah akiwa katika Iftari iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Zanzibar Machi 17, 2026 amesema Serikali haitawavumilia wale wote wanaokwepa Kodi kwa kujihusisha nabiashara za Magendo. Akizungumza kwa niaba ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Mwenyekiti wa…