Halmashauri za Mtwara zapewa neno upandaji miti
Mtwara. Halmashauri tisa za Mkoa wa Mtwara zimetakiwa kuongeza kasi ya upandaji miti ili kufikia malengo ya Serikali ya kupanda zaidi ya miti milioni 1.5 kwa kila halmashauri, kufuatia utekelezaji usioridhisha ulioonekana mwaka 2025. Wito huo umetolewa baada ya mkoa huo kupanda miti milioni tano pekee mwaka jana, idadi inayotajwa kuwa ndogo kulinganisha na malengo…