Dk Mwigulu alivyoshughulikia fidia ya mkazi Mpanda

Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Dk Mwigulu Nchemba amegeuka mbogo baada ya mkazi wa Mpanda mkoani Katavi, Jonathan Kayanda kumweleza hajalipwa fidia licha ya tathimini kufanyika miaka mitatu iliyopita. Tukio hilo limetokea leo Ijumaa Machi 13, 2026, muda mfupi baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa barabara Kwagira-Karema yenye urefu wa Kilomita 112…

Read More

Wanaharakati wataka uchunguzi madai ya Teresia mbele ya Waziri Mkuu

Dar es Salaam. Muungano wa mashirika yanayotetea haki za wanawake na wasichana, Tanzania Dadas Rise Coalition (TDRC), umeeleza wasiwasi mkubwa kuhusu upatikanaji wa haki kwa Teresia Teofili aliyeeleza kufanyiwa unyanyasaji wa kijinsia mbele ya hadhara na kuishia kuchekwa. Muungano huo unaojumuisha viongozi vijana wanawake na wakurugenzi wa mashirika 48 yasiyo ya kiserikali nchini, umeeleza kuwa…

Read More

Uwekezaji wa Sh700 bilioni madini ya niobium kuibeba Tanzania

Dar es Salaam. Tanzania imeingia makubaliano ya uwekezaji wa Dola za Marekani 300 milioni (takribani Sh700 bilioni) na Panda Hill Tanzania Limited, hatua inayotarajiwa kuibadilisha Mbeya kuwa kitovu kipya cha biashara na viwanda. Aidha, kwa mkataba huo, imefungua ukurasa mpya wa uchumi unaolenga kuongeza thamani ya madini na kuimarisha nafasi ya nchi katika masoko ya…

Read More

Josiah afichua ishu ya Ally Salim

LICHA ya kipa namba moja wa Dodoma Jiji, Ally Salim kukosekana uwanjani kutokana na majeraha ya bega, lakini kocha Amani Josiah amesema hatakuwa na haraka ya kumtumia, kwani lengo ni kumuona akiwa fiti zaidi. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah amesema kipa huyo anaendelea na programu maalumu ya madaktari wa kikosi hicho, ingawa muda si mrefu mashabiki…

Read More

Unafahamu chimbuko la Siku ya Wanawake Duniani?

Dar es Salaam. Kila mwaka ifikapo Machi 8, dunia huadhimisha Siku ya Wanawake Duniani. Katika nchi nyingi siku hii huambatana na mikutano, maandamano, kampeni za kijamii na tafakuri kuhusu mchango wa wanawake katika maendeleo ya jamii pamoja na changamoto zinazowakabili. Hata hivyo, nyuma ya maadhimisho haya kuna historia ndefu ya mapambano ya kijamii na kisiasa…

Read More