Rais Samia Aongoza Kikao Cha Baraza La Mawaziri

Bakari Mahundu
March 5, 2026
0 Comments

Rais Samia Akiongoza Baraza La Mawaziri

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri, tarehe 5 Machi, 2026 Ikulu Jijini Dar es Salaam.