Expanse Studios wameamua kutokupoteza muda, wameachia bonge la mchezo ndani ya Meridianbet ambalo linaacha kila mtu na shahuku ya kujaribu bahati yake. Huu sio mchezo wa kawaida, ni burudani yenye msisimko wa hali ya juu, pale unapokaa unatazama gurudumu likizunguka ukisubiri majibu ya bahati yako.
Fikiria hii picha, gurudumu kubwa lenye nafasi 56 linazunguka mbele yako. Ndani yake kuna nafasi 53 za namba na zile 3 maalum ambazo zinabadilisha kila kitu. Hapa ndipo mchezo unageuka kuwa mkali zaidi, kila raundi ni nafasi mpya iliyojaa matumaini.
Meridianbet wanakupa jukwaa pana la kubashiri, mechi kali za kimataifa hadi michezo ya kasino mtandaoni iliyojaa burudani. Ukiwa na odds zenye ushindani mkubwa, kila tiketi inakuwa na thamani zaidi. Jiunge sasa kupitia tovuti yao au piga *149*10#.
Usumbufu hakuna, mambo ni rahisi kabisa. Unachagua namba zako kati ya 1, 2, 6, 11, au zote kwa pamoja, unaweka dau lako, halafu unacheza. Baada ya hapo ni wewe na bahati yako. Gurudumu linaanza kuzunguka, unasubiri kuona itaangukia wapi. Huu ndio ule wakati ambao unaweza kubadilisha siku yako nzima.
Lakini usidhani ndio wamemaliza, bado kuna ile kali zaidi, Box Bonus. Unawekewa mabox matatu mbele yako, kila moja lina odds zake, low, medium au high. Hakuna anayejua ndani kuna nini mpaka uchague. Ukishachagua, unabofya Play na hapo ndipo bahati yako inafanya maamuzi.
Hii sio kubeti tu, huu ni uzoefu. Meridianbet wameleta kitu cha tofauti, kitu kinachokupa hisia za ushindi kabla hata haujashinda. Kama unatafuta burudani yenye ladha ya pesa, basi Magic Wheel ndio game yako.