Global Publishers
April 10, 2026
0 Comments
Waziri Mkuu Aongoza Kikao Kuhusu Utekelezaji wa Elimu Msingi Ya Lazima
Habari za Kitaifa
Global Publishers
April 10, 2026
0 Comments
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba ameongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 10, 2026. 
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiongoza Kikao cha Kazi cha Mawaziri na Makatibu Wakuu Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu, TAMISEMI na Wizara ya Elimu Sanyansi na Teknolojia kuhusu utekelezaji wa Elimu Msingi ya Lazima kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 10, 2026. 