Mechi hii inaitwa “War of the Roses” kwa sababu ya uhasama wa karne nyingi kati ya mikoa ya Lancashire (Manchester) na Yorkshire (Leeds). Tofauti na mechi nyingine za EPL, hapa hakuna ukarimu wowote.
Mashabiki wa Leeds wanachukia Manchester United kwa sababu za kihistoria za kiuchumi na kitamaduni, na kinyume chake. Katika miaka ya 1970, timu hizi zilikuwa na viwango vya jeuri za uwanjani kati ya mashabiki.
Kwa Leeds United, hii sio mechi ya kawaida kwani leeds anahitaji ushindi kwenye mchezo huu ilikujiweka na balaa la kushuka Daraja mwishoni mwa msimu huu kwani yupo mafasi ya 15 na anakutana na Man united amba o kwa siu za hivi karibu wamekuwa na kiwango bora mara tu timu hiyo kukabidhiwa Michael Carrick.
Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Daniel Farke, kocha wa Leeds, anajua kuwa sare Old Trafford itakuwa matokeo mazuri, lakini kisaikolojia kucheza kwa kujihami kunaweza kuwafanya wachezaji wake wakose kujiamini wanaposhambuliwa.
Lisandro Martinez amerudi baada ya kukosa mechi 5, lakini swali ni: je, yuko fiti kwa kasi ya mechi kubwa kama hii? Martinez anajulikana kwa kuwa beki mkali na mwenye moyo wa kushambulia, lakini ana udhaifu wa kukosa kasi dhidi ya wachezaji wepesi kama Piroe Joel wa Leeds.
Ikiwa Carrick atamchezesha Martinez kama beki wa kati pamoja na Yoro leny, Leeds wanaweza kumtumia Piroe Joel au Wilfried Gnonto kumkimbia nyuma ya mgongo. Kwa upande mwingine, kutokuwepo kwa Harry Maguire kunaweza kuwa baraka kwa United kwa sababu Maguire ni mwepesi wa kufanya makosa makubwa kwenye mechi zenye presha.