RAIS DKT SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU MKUU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI IKULU JIJINI DODOMA




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Mhe. Balozi Stephen Mbundi, Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma tarehe 13 Aprili, 2026.