KAMATI YA BUNGE YARIDHIA BAJETI OFISI WAZIRI MKUU KAZI, AJIRA NA MAHUSIANO
Na. OWM-KAM, Dodoma Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeridhia mpango na makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Mahusiano kwa mwaka wa Fedha 2026/2027 huku ikipongeza utekelezaji wa bajeti ya mwaka 2025/26. Akizungumza baada ya majadiliano ya wajumbe leo Bungeni Dodoma, Mwenyekiti wa…