PROF. MKENDA: MUHAS KUWA MJI WA KITAALUMA NA TIBA
Serikali imedhamiria kuwa Kampasi ya Mloganzila ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) itakuwa mji wa kitaaluma na tiba, ikijumuisha vituo vya umahiri vitakavyotoa huduma za matibabu, elimu na utafiti ili kuimarisha sekta ya afya na elimu ya juu nchini. Hatua hiyo, inatokana na uwekezaji mkubwa unaoendelea katika Kampasi hiyo, pamoja na…