Wabunge wa Somalia waapishwa kujiunga na Eala
Arusha. Hatimaye wabunge tisa kutoka Somalia wameapishwa rasmi kujiunga na Bunge la Afrika Mashariki (Eala), baada ya mvutano wa kisheria wa muda mrefu kuhusiana na mchakato wa uteuzi na changamoto za kifedha zinazoikabili Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Wabunge hao wameapishwa Machi 17, 2026 jijini Arusha ndani ya makao makuu ya Bunge hilo ambapo wanatarajiwa…