Admin

Japan Yaanza Kuachia Akiba ya Mafuta Kukabiliana na Upungufu wa Nishati

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi Serikali ya Japan imetangaza kuanza kuachia sehemu ya akiba yake ya kitaifa ya mafuta kuanzia Alhamisi, hatua inayolenga kukabiliana na wasiwasi unaoongezeka kuhusu usambazaji wa nishati duniani. Tangazo hilo limetolewa na Waziri Mkuu wa Japan, Sanae Takaichi, kupitia ujumbe aliouchapisha kwenye mtandao…

Read More

Umbali mrefu shuleni unavyoyumbisha wanafunzi kitaaluma -2

Bagamoyo. Wanafunzi kutembea umbali mrefu kwenda na kurudi shule ni moja ya changamoto zinazoripotiwa mara kwa mara nchini. Sababu kuu ni mchanganyiko wa sababu za kijografia, hamahama ya baadhi ya jamii, uchaguzi wa shule zenye matokeo mazuri bila kuzingatia umbali, na baadhi ya shule kuwa mbali na makazi ya watoto. Vilevile, uchumi wa familia, kutokuwepo…

Read More

Pengo la fedha latishia mapambano dhidi ya kifua kikuu

Dar es Salaam. Uwekezaji wa fedha katika kushughulikia ugonjwa wa kifua kikuu (TB) nchini Tanzania bado haujitoshelezi, hali inayochangia kuendelea kuwepo kwa maambukizi mapya na vifo vinavyoweza kuzuilika, licha ya jitihada mbalimbali zinazofanywa na Serikali na wadau wa maendeleo. Takwimu zinaonesha Tanzania inachangia takribani asilimia 22 pekee ya fedha zote za mapambano dhidi ya TB,…

Read More

Mgambo wadaiwa kumuua raia Mwanza

Mwanza/Dar. Utata umeibuka kuhusu taarifa ya chanzo cha kifo cha Rashid Nyandonga (31), kufuatia ukinzania baina ya kinachoelezwa na Polisi Mkoa wa Mwanza dhidi ya maelezo ya familia na mashuhuda. Wakati polisi wakisema amefariki dunia baada ya kuishiwa nguvu akiwa mikononi mwa askari mgambo, familia na mashuhuda wamedai kuwa, umauti wake umesababishwa na kipigo cha…

Read More

Wazazi wanavyoweza kudhibiti WhatsApp za watoto wao

Dar es Salaam. Katika kuhakikisha usalama wa watoto mitandaoni, Kampuni ya teknolojia ya Meta Platforms, inayomiliki programu ya WhatsApp, imetangaza kuanzisha mfumo mpya wa akaunti zinazodhibitiwa na wazazi kwa watoto walio chini ya umri wa miaka 13. Tangazo hilo lililotolewa Machi 11, 2026, linakuja wakati dunia ikishuhudia ongezeko la wasiwasi kuhusu athari za mitandao ya…

Read More

Jifunze Kilimo cha Strawberry Aina, Mbinu na Faida

Strawberry (fukisadi) ni moja ya matunda yanayolimwa kwa faida kubwa, hasa kutokana na mahitaji yake ya soko la ndani na kimataifa. Zao hili hustawi vizuri katika maeneo yenye joto la wastani na linafanya vizuri zaidi likilimwa kwa mfumo wa kisasa kama vile green house. Kwa ujumla, strawberry hukua vizuri katika maeneo yenye mwinuko wa kuanzia…

Read More

Wadau Washangazwa na Ukaribu wa Diamond na Lulu Diva

Global Publishers March 24, 2026 0 Comments Msanii nyota wa Bongo Fleva na Mkurugenzi Mtendaji wa WCB Wasafi, Diamond Platnumz, Machi 23, 2026 amezua gumzo mitandaoni baada ya kumpongeza Lulu Diva katika siku yake ya kuzaliwa kwa ujumbe ulioonekana kuwagusa wengi. Kupitia comment aliyoiandika kwenye picha za Lulu Diva, Diamond alimtakia maisha marefu na yenye…

Read More