Serikali Yazindua Mtumiaji App Kuimarisha Mawasiliano na Kulinda Watumiaji Nchini
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Agellah Jasmine Kairuki, amezindua rasmi mfumo wa kidijitali wa kuhudumia watumiaji wa huduma za mawasiliano ujulijanao kama Mtumiajiapp ulioandaliwa na TCRA-CCC , leo Tarehe 23/03/2024 katika ukumbi wa Millennium Towers uliopo jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo umehudhuriwa na wadau wa sekta ya mawasiliano pamoja na wananchi mbalimbali….