KAMATI YA BUNGE YAKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA KAMPASI YA CHUO KIKUU MZUMBE TANGA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu, Utamaduni na Michezo, Mhe. Husna Juma Sekiboko (Mb) akiongoza Wajumbe wa Kamati hiyo kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi ya Tanga, unaotekelezwa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Kiuchumi (HEET). ************* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Elimu,…