TCD Yaendelea Kuunganisha Vyama vya Siasa Kujadili Masuala ya Taifa
Na Mwandishi Wetu. KITUO cha Demokrasia Tanzania (TCD) kimeendelea kuimarisha juhudi za kuvikutanisha vyama vya siasa nchini kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya kitaifa na kukuza utamaduni wa majadiliano unaochochea demokrasia, amani na mshikamano wa kitaifa. Akizungumza jijini Dar es Salaam Machi 13, 2026 katika hafla ya futari kwa Waislam na Wakristu iliyoandaliwa na…