Hili la chakula shuleni, wazazi na wadau tuungane kwa pamoja
……. Na: Dk. Reubeni Lumbagala, Tanga Chakula, mavazi na malazi ni mahitaji muhimu ya binadamu (basic needs). Ni mahitaji ambayo maisha ya binadamu hayawezi kwenda bila kuwa nayo, ndiyo maana watu wanapambana kupitia shughuli mbalimbali za kiuchumi kama kilimo, ufugaji, uvuvi, biashara, ujasiriamali kuhakikisha mahitaji haya yanapatikana katika ngazi ya familia ili kufurahia maisha. Katika…