TRA Yasisitiza Uzingatiaji wa Sheria za Kodi kwa Biashara za Kichina
Na Mwandishi wetu Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bw. Yusuph Mwenda, amezitaka kampuni za Kichina na wafanyabiashara wote nchini kuzingatia kikamilifu sheria za kodi kwa kulipa kwa wakati, kutoa taarifa sahihi, na kushirikiana kwa karibu na mamlaka hiyo. Akizungumza katika Mkutano wa Mafunzo na Kubadilishana Uzoefu wa Kodi kati ya Biashara za…