BoT YASHIRIKISHA WADAU MPANGO WA KUANZISHA KAMPUNI YA UDHAMINI WA MIKOPO
Benki Kuu ya Tanzania (BoT), ikiongozwa na Naibu Gavana wa Sera za Uchumi na Fedha, Dkt. Yamungu Kayandabila, imefanya kikao na wadau mbalimbali kujadiliana kuhusu mpango wa kuanzishwa kwa kampuni ya utoaji na usimamizi wa dhamana za mikopo itakayojulikana kama Tanzania Credit Guarantee PLC. Kikao hicho kilichofanyika leo, tarehe 12 Machi 2026, katika ofisi za…