Admin

WAZIRI MKUU AONGOZA KIKAO CHA KUJADILI MAPENDEKEZO YA YA KUFANYA MABORESHO YA SHERIA YA MAPATO YA BAADHI TA MIFUKO

Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Machi 11, 2026 ameongoza Kikao cha kujadili Mapendekezo ya kufanya Maboresho ya Sheria ya Mapato ya baadhi ya Mifuko kilichofanyika kwenye ukumbi wa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma, Machi 11, 2026. Baadhi ya viongozi walioshiriki katika Kikao hicho ni pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,…

Read More

TPDC INAENDELEA NA UPANUZI WA GESI ASILIA KWA MATUMIZI YA VIWANDANI NA MAJUMBANI

Na Mwandishi wetu – Dodoma  Shirika la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) inaendelea kupanua miundombinu ya kusambaza gesi asilia kwa matumizi ya viwandani na majumbani katika Mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara, na sasa mpango ni kufika Morogoro, Dodoma, Tanga, Kilimanjaro na Arusha. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji TPDC Mussa Makame akizungumza na…

Read More

GCLA IMEWAJENGEA UWEZO VIJANA 8,086 KATIKA UENDESHAJI SHUGHULI ZINAZOHUSU KEMIKALI

Na Mwandishi wetu- Dodoma Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA) imefanikiwa kuwajengea uwezo vijana 8,086 katika uendeshaji wa shughuli zinazohusisha kemikali, na kuwasaidia kulinda afya zao na mazingira, Mafunzo hayo yamewezesha vijana kupata fursa za biashara katika usafirishaji wa kemikali na kuanzisha viwanda vidogo vidogo vya uzalishaji wa bidhaa za kemikali. Dkt…

Read More

Waziri: Tunatambua yanayoendelea soko la Darajani

Unguja. Wakati kukiwa na malalamiko na mijadala kuhusu vikosi vya Idara Maalumu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kuwapiga wananchi na kuwanyang’anya bidhaa katika Soko Kuu la Darajani, Serikali imekiri kuwepo kwa kero hiyo na kutaka kusitishwa kwa matumizi ya silaha kuanzia sasa. Hayo yameelezwa leo Jumatano Machi 11, 2026 na Waziri wa Nchi, Ofisi…

Read More

CM YAMG’OA KIGOGO UWANJA WA MKWAKWANI

Na Oscar Assenga,TANGA KAMATI ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Tanga imeagiza kusimamishwa kazi Meneja wa Uwanja wa Mkwakwani Akida Machai kutokana na mapungufu mbalimbali yaliyobainika wakati wa ziara ya kamati hiyo kwa ajili ya kujionekana maendeleo yake. Akizungumza kuhusu maamuzi hayo ,Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Tanga Rajab Abdurhaman ambapo alisema…

Read More