Admin

Hizi ndio sababu Kisena wa ‘Udart’ na wenzake kuachiwa huru

Dar es Salaam. Mahakama ya Rufani Tanzania, imebatilisha hukumu na kufuta adhabu waliyopewa, aliyekuwa mkurugenzi wa Kampuni ya Mabasi Yaendayo Haraka (Udart), Robert Kisena na wenzake wawili na kisha kuwaachia huru. Kisena na wenzake, Charles Newe aliyekuwa pia mkurugenzi wa Udart na Tumaini Kulwa aliyekuwa Mtunza Fedha (Cashier), Udart, walipatikana na hatia ya makosa ya Uhujumu…

Read More

Ibenge ataka wawili Azam | Mwanaspoti

AZAM leo itakuwa ugenini kupambana na Dodoma Jiji kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara, lakini mezani kwa viongozi wa klabu hiyo kuna mahitaji mawili ya mastaa wapya yaliyoletwa na kocha wa timu hiyo, Florent Ibenge. Iko hivi; Ibenge bado hafurahii sana ufanisi wa eneo la kushambulia na amewaambia mabosi wake waanze mchakato taratibu kwa kumtafutia…

Read More

Mkuu wa Umoja wa Mataifa anajibu maswali magumu katika ukumbi wa townhall pamoja na mashirika ya kiraia ya wanawake – Global Issues

“Ninyi ni watikisa msingi,” UN Katibu Mkuu Antonio Guterres aliuambia mkutano wa kila mwaka wa townhall na watetezi wa haki za wanawake – ambao unaendelea hadi 19 Machi – “na unatikisa haki, utu na usawa kwa jamii kote ulimwenguni.” Akiangazia kukosekana kwa usawa wa madaraka, ikiwa ni pamoja na katika siasa, uchumi na teknolojia zinazoibukia…

Read More

Onyo la ‘mvua ya sumu’ kutoka kwa bohari ya mafuta huku kukiwa na vita vinavyoendelea vya Mashariki ya Kati – Global Issues

Akizungumza na waandishi wa habari mjini Geneva, msemaji wa ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Kibinadamu Ravina Shamdasani ameeleza wasiwasi wake kuhusu madhara ya kiafya na kimazingira ya mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya maghala ya mafuta mjini Tehran huku uchafuzi wa sumu ukienea angani. Alisema kuwa athari hizi zinazua “maswali mazito…

Read More

Kwa hali hii matumizi ya gesi yetu hayaepukiki

Niliwahi kuulizwa na rafiki wa Kijerumani: “kinywaji chenu asilia ni kipi? Tulikuwa katika mapumziko nje ya Motel Agip. Ili kumjibu haraka nilimuita muuza madafu. “Mchongee moja laini huyu mgeni wangu.” Muuza madafu alitomasa bidhaa zake, akauliza, “maji au nyama?” Nilimwambia maji maana mgeni huyu hakuuliza chakula, bali kinywaji. Akachongewa dafu na kuyafurahia maji yake. Wakati…

Read More