Kwa nini watoi wanaonewa bure?
Japo sijui umri wala sura zenu, kwa walengwao mjijuao, nitakuiteni waheshimiwa msiojulikana mnaofanya mambo yanayojulikana tena ya kuudhi. Nawapa shikamoo kama ishara ya heshima ila siyo kuwazeesha bali kuwasifia na kuwafurahisheni msiniteke, kunipoteza, hata kunidedisha kama wale wenzangu. Juzi, nilisikitika sana na kushangaa. Nilihuzunika na kuchukia namna wengine wanavyokasirika na kufyatuka kiasi cha kupayuka na…
Mchakamchaka siku 12 za mashambulizi Mashariki ya Kati
Leo zimetimia siku 12 tangu kuanza kwa mashambulizi ya anga Mashariki ya Kati, baada ya Marekani na Israel kuishambulia Iran, taifa la Kiislamu lenye utajiri wa mafuta katika ukanda huo. Mashambulizi hayo yalianza Februari 28, 2026, pale Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khamenei alipoteza maisha siku hiyo sambamba na viongozi wengine waandamizi Zaidi ya…
Mbinu mpya uingizaji wa mihadarati zinatia hofu
Biashara haramu ya dawa za kulevya inaendelea kubadilika kadiri mamlaka zinavyoimarisha udhibiti wake. Hivi sasa, wafanyabiashara wa dawa hizo wamebuni mbinu mpya ya kuziingiza Zanzibar, hali inayoongeza wasiwasi kuhusu usalama wa jamii, hususan watoto na vijana. Mbinu hii mpya imeibuka baada ya njia nyingi zilizokuwa zikitumiwa kwa muda mrefu, zikiwemo kuzimeza na kuzibeba tumboni, kugundulika…
UCHAMBUZI WA MAYALA: Kosa moja, adhabu mbili, sheria mbili, kaburi uhuru wa habari
Wiki iliyopita mwandishi wa makala hii alijikuta katika hali isiyo ya kawaida baada ya kufanya kosa moja la kitaaluma na kulikubali wazi pamoja na kuomba radhi. Hata hivyo, licha ya kuomba msamaha, alikabiliwa na adhabu mbili tofauti kutoka kwa taasisi mbili za udhibiti zinazotumia sheria tofauti na zilizo chini ya wizara mbili tofauti. Tukio hilo…
CCM K’njaro yatoa kauli viongozi 70 kusaini kumkataa kigogo, kutishwa
Dar es Salaam. Wakati msuguano ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Moshi Mjini ukiendelea kushika kasi ikiwamo viongozi 70 kusaini barua ya kutokuwa na imani na kigogo wa chama hicho ngazi ya wilaya, Mkoa wa Kilimanjaro umesema inafanyia kazi madai yote na hatua zitachukuliwa. Taarifa za uhakika zilizolifikia Mwananchi, zinaeleza miongoni mwa waliosaini…
Trump Aamuru Iran Ionoe Mabomu Hormuz, Marekani Yashambulia Boti 16
Jeshi la Marekani limefanya mashambulizi ya anga dhidi ya boti za kijeshi za Iran zilizokuwa zikidaiwa kuweka mabomu ya majini katika Mlango wa Bahari wa Hormuz, hatua iliyokuja baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuionya Tehran kuondoa mabomu hayo mara moja. Katika video iliyotolewa na U.S. Central Command (CENTCOM) kwenye mtandao wa X, ndege…
Rostam Aziz Anunua Hisa za Nation Media Group kutoka AKFED
Global Publishers March 11, 2026 0 Comments Mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz Aga Khan Fund for Economic Development imetangaza kufikia makubaliano ya kuuza hisa zake zote katika Nation Media Group kwa mfanyabiashara wa Tanzania Rostam Aziz kupitia kampuni yake ya Taarifa Limited. Katika taarifa rasmi, AKFED imesema imeingia makubaliano ya kuuza asilimia 100 ya umiliki…
Ssebo wa EFM Afariki Dunia Akipwatiwa Matibabu Muhimbili
Bakari Mahundu March 11, 2026 0 Comments Mkurugenzi wa Uzalishaji na Biashara wa Kituo cha Redio cha EFM na TVE, Denis Busulwa almaarufu Ssebo, amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Machi 11, 2026 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na EFM, Ssebo amefariki dunia baada ya…
Rais wa Shirikisho la Soka Kongo Afungwa Jela Maisha kwa Kashfa ya Fedha
shemeliezer shem March 11, 2026 0 Comments Jean-Guy Blaise Mayolas, Aliyekua Rais wa Shirikisho la soka Kongo Brazzaville (Kushoto), Gianni Infantino rais wa Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) Mahakama nchini Kongo Brazzaville imemkuta na hatia Rais wa Shirikisho la Soka la nchi hiyo, Jean-Guy Blaise Mayolas, kwa makosa makubwa ya kifedha yaliyohusisha utakatishaji…