SBL Yazungumza na Waziri Mkumbo Kuhusu Kuimarisha Ushirikiano na Sekta Binafsi
Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo imekutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo, katika kikao cha kimkakati kilicholenga kuimarisha ushirikiano kati ya sekta ya umma na sekta binafsi ili kuunga mkono mageuzi ya uchumi wa Tanzania na kukuza uwekezaji kwa maendeleo ya muda mrefu. Kwa Upande wa…