Ijue Historia ya Mwanamke Mbaya Zaidi Duniani
Katika historia ya dunia kuna hadithi nyingi ambazo zinaonyesha jinsi binadamu wanaweza kuvumilia maumivu makubwa kwa ajili ya wale wanaowapenda. Moja ya hadithi hizo ni ya Mary Ann Bevan, mwanamke kutoka Uingereza ambaye aliwahi kuitwa kwa jina la kikatili “mwanamke mbaya zaidi duniani.” Lakini nyuma ya jina hilo kulikuwa na ukweli tofauti kabisa hadithi ya…
Azam Kukiwasha na Yanga Azam Complex Chamazi Machi 15 saa 2:30 usiku
Global Publishers March 10, 2026 0 Comments Mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara utakaowakutanisha Azam FC na bingwa mtetezi Yanga umepangwa kuchezwa Jumapili, Machi 15, majira ya saa 2:30 usiku. Mchezo huo utafanyika katika uwanja wa Azam Complex Chamazi, na unatarajiwa kuwa wa ushindani mkali kutokana na rekodi ya pande zote mbili katika ligi…
Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Usanifu wa Jinsia wa Usaliti: Acha Kutokujali Wasomi – Masuala ya Ulimwenguni
Ulimwengu utakusanyika katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York kwa ajili ya Kamisheni ya Hali ya Wanawake (CSW70)– jukwaa kubwa la kila mwaka la Umoja wa Mataifa linalohusu usawa wa kijinsia na haki za wanawake. Kinachotokea hapa huathiri sheria, sera, ufadhili na uwajibikaji katika nchi na vizazi. Lengo la mwaka huu liko…
Siku ya Kimataifa ya Wanawake 2026 – Haki kwa Wanawake na Wasichana Inahitaji Hatua na Utashi wa Kisiasa – Masuala ya Ulimwenguni
Anne Hathaway, Balozi wa Umoja wa Mataifa wa Nia Njema kwa Wanawake, akihutubia Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Wanawake ya 2026 ya Umoja wa Mataifa kuhusu mada: ‘Haki, Haki, Hatua kwa Wanawake na Wasichana WOTE.’ Credit: UN Photo/Evan Schneider na Naureen Hossain (umoja wa mataifa) Jumatatu, Machi 09, 2026 Inter Press Service UMOJA WA…
Nyaraka za FBI Zamtaja Trump Kwenye Tuhuma za Unyanyasaji wa Kingono
shemeliezer shem March 10, 2026 0 Comments Nyaraka mpya za FBI zilizotolewa na Wizara ya Sheria ya Marekani (DOJ) zimefichua mahojiano ya mwaka 2019 na mwanamke aliyedai kufanyiwa unyanyasaji wa kingono akiwa na umri wa kati ya miaka 13 hadi 15, akiwataja Donald Trump na mfanyabiashara marehemu Jeffrey Epstein. Hata hivyo, madai hayo hayajathibitishwa kwa…
Cheza Leo, Pata Zawadi Kesho Na Win&Go Lucky Loser
MARA nyingi wabashiri wa michezo ya kasino hukutana na changamoto ya kupoteza licha ya kuchagua mchezo kwa umakini mkubwa. Lakini kupitia ubunifu wa Win&Go Lucky Loser, Meridianbet inaleta matumaini mapya kwa soko la wachezaji kwa kugeuza hasara ya leo kuwa ushindi wa kesho. Huu ni mfumo maalum unaobadilisha tiketi zisizofanikiwa kuwa fursa ya kujishindia hadi…
Ubia wa Umma na Binafsi Watajwa Kuwa Injini ya Utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo
Waziri wa Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo, akizungumza jijini Dar es Salaam leo Machi 9,2026 wakati wa ufunguzi wa kongamano la kujadili nafasi ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi lililoandaliwa na Kituo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP Centre). SERIKALI imetaja ubia kati ya sekta ya umma…
MJUMBE MAALUM WA UN AIPONGEZA TANZANIA KWA KUREJESHA AMANI NA KUIMARISHA TAASISI ZA KIDEMOKRASIA
*****. Dar es Salaam, 9 Machi 2026 Mwakilishi Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika na Mkuu wa Ofisi ya Umoja wa Mataifa katika Umoja wa Afrika (UNOAU), Bw. Parfait Onanga-Anyanga amewasili nchini kwa ziara akiwa kama Mjumbe Maalum wa Mhe. Antonio Guterres, Katibu Mkuu UN kwenye ziara ya kikazi…
BALOZI WA IRELAND NA NM-AIST WAJADILI UTEKELEZAJI WA SAMIA SCHOLARSHIP DS/AI+
Balozi wa Ireland nchini Tanzania, Mhe. Nicola Brennan na uongozi wa Taasisi ya Afrika ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST) wamejadiliana namna ya kuimarisha utekelezaji wa mpango wa Samia Scholarship Extended DS/AI+ unaolenga kujenga wataalamu wa Akili Bandia (AI) na Sayansi ya Takwimu (Data Science) nchini. Akizungumza wakati wa ziara hiyo iliyofanyika…