UNDP, Uingereza Watoa Mamilioni ya Fedha Kuimarisha Biashara Bunifu
Na Neema Adrian Shirika la Umoja wa Mataifa la Maendeleo (UNDP Tanzania) pamoja na Serikali ya Uingereza kupitia Ofisi ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo (FCDO) wametoa zaidi ya TSh milioni 70 kama mtaji wa awali (seed funding) kwa biashara bunifu zilizoanzishwa na wanafunzi wa vyuo vikuu, ikiwa ni sehemu ya msimu…