Waziri: Miradi inayotekelezwa iwe chachu kuongeza gawio kwa Serikali
Unguja. Wakati kukiwa na utekelezaji wa miradi mikubwa inayosimamiwa na kampuni kubwa za ndani na nje ya nchi, Serikali imeitaka Shirika la Bima la Zanzibar (ZIC) kutumia fursa hiyo kuongeza mchango wake wa gawio kwa Serikali. Hayo yameelezwa na Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Maliki Juma Akil, aliyesema kuwa licha ya jitihada zinazofanywa na…