Admin

Fahamu Madhara ya Kuendesha Gari Taa ya Mafuta Ikiwa Inawaka

Madereva wengi wana tabia ya kupuuza taa ya mafuta pale inapowaka kwenye dashboard ya gari, wakiamini bado wanaweza kusafiri umbali mrefu kabla ya tanki kuisha kabisa. Wengine husema, “bado naweza kufika kituo kijacho”, au “nitaweka baadaye.” Hata hivyo, wataalamu wa magari wanaonya kuwa kuendesha gari kwa muda mrefu huku taa ya mafuta ikiwa imewaka kunaweza…

Read More

WANAZUONI WAHIMIZA WISLAMU KUTOA ZAKA KUPAMBANA NA UMASIKI

                 :::::::::::: Mwenyekiti wa Umoja wa Wanazuoni wa Kiislamu, Sheikh Abdallah Swallehe Ndauga, amewahimiza Waislamu kutekeleza ipasavyo ibada ya Zaka ili kusaidia kupunguza umasikini katika jamii. Akizungumza katika kongamano la wanazuoni wa Kiislamu lililofanyika katika ukumbi wa Dar es Salaam Youth Centre (DYCC) jijini Dar es Salaam, Sheikh…

Read More

EWURA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

  MWEYEKITI   wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya Tanzania (TUGHE) Tawi la EWURA, Herieth Kasilima, akiwaongoza baadhi ya Wafanyakazi Wanawake wa EWURA  waliojitokeza katika maadhimisho ya  kilele cha Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika   ngazi ya Mkoa wilayani Kongwa ,mkoani Dodoma leo Machi 8,2026 wakipita mbele ya mgeni rasmi wa maadhimisho…

Read More

WANAWAKE e-GA WATOA MSAADA KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU

Wanawake kutoka Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Makao Makuu Dodoma wameungana na wanawake wengine Mkoani Dodoma kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Machi 8, 2026, Jijini Dodoma  ‎ ‎Katika kuadhimisha siku  hiyo Wanawake hao wametoa msaada wa mahitaji mbalimbali katika Kituo cha Watoto Yatima cha Rahman kilichopo chang’ombe mkoani humo. ‎ Akizungumza mara baada ya kukabidhi…

Read More