MAKANDARASI WALIA NA SHERIA YA MALIPO
CHAMA cha Umoja wa Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (TUCASA) kimeiomba Serikali kuanzisha sheria maalum ya malipo katika sekta ya ujenzi ili kusaidia kuimarisha mazingira ya kazi kwa makandarasi wa ndani na kuhakikisha wanapata malipo kwa wakati wanapotekeleza miradi ya maendeleo ya umma. Chama hicho kimesema kuwa uwepo wa sheria hiyo utasaidia kuweka utaratibu…