BARRICK KUENDELEZA FURSA SAWA KWA WANAWAKE KATIKA SEKTA YA MADINI
Wahitimu wa Programu ya Mwanamke wa wakati ujao ya ATE (Female Future Programme) kutoka Barrick North Mara katika picha ya pamoja , kuanzia kushoto, Patricia Vulla , Elda Mahenda, Sella Mwaigomole, Edith Dickson Biita na Noela Mataro katika mahafali yaliyofanyika katika ukumbi wa Mlimani City. Wahitimu wa Programu ya Mwanamke wa wakati ujao ya ATE…