Trump, Netanyahu wanavyoimba nyimbo mbili kwenye ala moja Iran
Falsafa ya “Anarchism” ni somo kwenye sayansi ya siasa. Waumini wa Anarchism (anarchists) hujengwa na mtazamo kuwa Serikali ni kikundi cha kijambazi, maana hujiendesha kwa mabavu, hukusanya mapato kwa raia (kutoza kodi) bila utashi, na hudhibiti dola kwa nguvu za kijeshi. …