Yanga yatakata Singida, Okelo afungua akaunti ya mabao Ligi Kuu
BINGWA mtetezi wa Ligi Kuu Bara, Yanga imeendeleza rekodi bora ya kutopoteza, baada ya kikosi hicho kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Singida Black Stars, katika mechi kali iliyopigwa leo Machi 5, 2026 kwenye Uwanja wa Airtel, mjini Singida. Katika mechi hiyo, Prince Dube alifungua ukurasa wa mabao dakika ya 39, baada ya…