Wanawake, watoto 41,000 kunufaika usawa wa kijinsia
Unguja. Katika wiki ya maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani, mradi wa pamoja wa kukuza usawa wa kijinsia umezinduliwa ukilenga kuwanufaisha zaidi ya wanawake na watoto 41,000 nchini. Mradi huo wa miaka mitano, unaofadhiliwa na Benki ya Dunia (WB), unalenga kutoa mikopo yenye masharti nafuu pamoja na kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Mbali…