Aucho mambo safi Singida BS, rasmi arejea kazini
UONGOZI wa Singida Black Stars, umetangaza kumsamehe kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho na kumrejesha kazini kuanzia leo Machi 5, 2026 baada ya kufanyika kwa majadiliano na tathmini ya kina kufuatia tukio lililotokea wakati wa mazoezi ya timu. Februari 27, 2026, uongozi wa Singida Black Stars ulitangaza kumsimamisha Aucho kwa miezi mitatu kwa tuhuma za…