Alichokisema Kihongosi ukaguzi ujenzi bandari kavu, stendi Kahama
Shinyanga. Wakati wananchi wa Kahama wakieleza fursa wanazozitarajia miradi ya ujenzi wa bandari kavu na stendi ya mabasi Mbulu itakapokamilika, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimetaka kutolewa kwa usawa na haki vibanda vya biashara na wananchi wa Kahama wapewa kipaumbele. Kauli hiyo ya CCM imetolewa leo Jumatano, Machi 4, 2026 na Katibu Itikadi, Uenezi na Mafunzo,…