Meli Ya Kijeshi Ya Iran Yazama Ikiwa Na Watu Zaidi Ya 100
Bakari Mahundu March 4, 2026 0 Comments WJeshi la wanamaji na jeshi la anga la Sri Lanka limetumwa haraka kuwaokoa mabaharia wa Iran baada ya meli yao kutuma ishara ya dharura alfajiri na kuanza kuzama karibu na pwani ya kisiwa hicho, mamlaka za Sri Lanka zimethibitisha. Tukio hilo limeibua taharuki kubwa katika ukanda huo wa…