Mali zinavyowatoa roho wanandoa | Mwananchi
Canada. Kuna visa vinavyozidi kuongezeka ambapo wanandoa hutoana roho kisa mali. Japo tutakachojadili hapa si kipya, kuna mafunzo mapya tunaweza kutoa kutokana na ama uzoefu wetu au wenu. Hivi karibuni,visa vya wanadoa kutoana uhai juu ya mali vimezidi kushamiri. Si kwamba havikuwepo, vilikuwapo ila siku hizi vimezidi. Hii ni kutokana na utandawazi na uelewa wa…