Aliyehukumiwa jela miaka 30 kwa ubakaji, akata rufaa akwaa kisiki
Arusha. Mahakama ya Rufani nchini imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na mkazi wa Dar es Salaam, Sharif Tandila aliyekuwa akipinga adhabu ya kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti aliyekuwa anasoma kidato cha pili katika Shule ya Sekondari Kurasini. Binti huyo aliyekuwa na umri wa miaka 15, alidaiwa kutoweka nyumbani…