Aliyefungwa miaka 30 kwa madai kumbaka bibi kizee aachiwa huru
Mbeya. Mahakama ya Rufani imemuachia huru Augustino Mbonile aliyekuwa akitumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la ubakaji, baada ya kubaini kuwa shahidi muhimu wa upande wa mashitaka alitoa ushahidi pasipo kula kiapo kinyume na sheria. Mbonile alikuwa amehukumiwa mwaka 2022 na Mahakama ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya kwa kosa la kumbaka mwanamke…