HELP TO HELP YAWAWEZESHA WASICHANA KUPENYA SOKO LA AJIRA
NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM TAASISI ya Help to Help East Africa imeendesha mafunzo ya siku 14 kwa wasichana 150 kutoka mikoa 20 nchini, ikiwa na lengo la kuwawezesha kupata ujuzi wa matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) ili kuongeza ushindani wao katika soko la ajira. Mafunzo hayo yanawalenga zaidi wasichana waliopo…