WAJUMBE WA KAMATI YA JPCDS WAJIONEA MAAJABU YA HIFADHI YA NGORONGORO
********* Wajumbe wa Kamati ya Wataalamu wa Kamisheni ya Kudumu ya Pamoja ya Ulinzi na Usalama (Joint Permanent Commission of Defense and Security – JPCDS) kutoka Tanzania na Zambia, wakiongozwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Patrobas Katambi pamoja na Waziri wa Mambo ya Ndani na Usalama wa Jamhuri ya Zambia Mhe….