PAWA Kuzindua Kitabu Kipya Kinachomuenzi Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli
CHAMA cha Waandishi wa Afrika (Pan African Writers Association – PAWA) kinatarajia kuzindua kitabu kipya kinachomuenzi aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Pombe Magufuli, wakati wa Maonesho ya Kimataifa ya Vitabu ya Conakry yatakayofanyika Aprili 2026 nchini Guinea Conakry. Chapisho hilo linaadhimisha maisha na uongozi wa Magufuli kufuatia kifo chake tarehe 17 Machi 2021,…