IRGC Yadai Kulipiza Kisasi Baada ya Kifo cha Khamenei, Trump Atoa Onyo Kali
Global Publishers March 1, 2026 0 Comments Taarifa zinazodaiwa kuenea mitandaoni, mashirika ya kijeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikiwemo Jeshi la Mapinduzi la Kiislamu (IRGC), wametangaza kuwa watafanya mashambulizi makali dhidi ya Marekani. Habari hizo zinadai kuwa hatua hiyo itatokana na kile kinachodaiwa kuwa kifo cha Kiongozi Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya…