Iran yathibitisha kifo cha Ayatollah, yatangaza siku 40 za maombolezo
Vyombo vya habari vya Serikali ya Iran vimethibitisha kuwa Kiongozi Mkuu wa taifa hilo, Ayatollah Ali Khamenei ameuawa katika ofisi yake kufuatia mashambulizi ya Israel na Marekani dhidi ya Iran, baada ya taarifa za awali kutoka kwa maofisa wa Marekani na Israel kudai kuuawa kwake. Kwa mujibu wa Al Jazeera, kipindi cha maombolezo cha siku…