Ligue 1, EPL, La Liga, Serie A – Odds Kubwa Leo Kwenye Meridianbet
Meridianbet siku ya leo wanasema hivi una nafasi ya kutimiza malengo yako endapo utasuka jamvi lako na Meridianbet. Timu kutoka ligi mbalimbali zitapigwa na hii ndio nafasi yako ya kutengeneza pesa sasa. LIGUE 1 kule Ufaransa pia kuna mechi zitakazoendelea Rennes atamualika kwake Toulouse ambapo tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 6 pekee….