Mgogoro stendi ya daladala Buza wachukua sura mpya
Dar es Salaam. Mgogoro wa stendi ya daladala katika eneo la Buza, Wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam, umeingia hatua mpya baada ya Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) Temeke kuingilia kati na kuagiza kurejeshwa kwa huduma katika stendi zilizokuwa zikitumika awali, huku uchunguzi wa kina ukianza mara moja. Mkuu wa Takukuru…