Video: Msanii Janka Rino Afariki Dunia Kwa Kifua Kikuu
Bakari Mahundu February 27, 2026 0 Comments Aliyekuwa msanii wa Bongo Fleva na mwanzilishi wa kundi la LWP Majitu, pamoja na kuwa sehemu ya kundi la Maingizo lililoundwa na mastaa kama Bishanga, Waridi Rich Rich na wengine, Janka Rino amefariki dunia usiku wa jana. Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na mdogo wake, ambaye amesema Janka…