Mastaa Ligi Kuu Bara watabiri Dabi ya Kariakoo
MASHABIKI wa Yanga wanachekelea ushindi wa timu yao wa mabao 5-0 dhidi ya JKT Tanzania, huku wenzao wa Simba wakinuna baada ya suluhu 0-0 mbele ya Dodoma Jiji, lakini baadhi ya wadau wamesema matokeo hayo hayatoi picha ya matokeo ya Dabi ya Kariakoo kutokana na ukweli mechi za watani huwa zina matokeo ya kushangaza. …