Admin

JKT TZ yaendelea rekodi mbovu

KIPIGO cha mabao 5-0, ilichokipata JKT Tanzania juzi kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, jijini, Dar es Salaam, katika mechi ya Ligi Kuu dhidi ya mabingwa watetezi Yanga, kimeifanya timu hiyo ya maafande kuandika rekodi mbili mbovu. Mabao hayo ya Yanga, yalifungwa na Mohamed Hussein ‘Tshabalala’ dakika ya 7, Laurindo Dilson Maria ‘Depu’ dakika ya…

Read More

Kundemba, Vuga ngoma droo Masauni & Seif Cup

TIMU za Kundemba na Vuga zimeanza kwa suluhu katika mechi ya uzinduzi wa michuano maalumu ya Masauni & Seif Cup iliyoanza juzi kwenye Uwanja wa Mnazi Mmoja, mjini Unguja, ikishirikisha jumla ya timu 20, huku Serikali ikiahidi kuwekeza zaidi michezoni. Klabu nyingine zinazoshiriki michuano hiyo kwa msimu huu ni; KISC FC, Ujamaa, Urusi, Misyuu, Aston…

Read More

Nsajigwa akiri ana kibarua kizito

SAA chache tangu awaage wachezaji aliofanya nao kazi Transit Camp, Kocha Shadrack Nsajigwa ‘Fuso’ amekiri ana kazi kibarua kikubwa cha kufanya kuhakikisha timu anayokabidhiwa inarudi kwenye ushindani. Nsajigwa, amekabidhiwa kuinoa Tanzania Prisons akichukua mikoba ya Zedekiah Otieno ambaye tayari wamefikia makubalianao ya pande mbili kusitisha mkataba wake akiwa ameiongoza timu hiyo kwenye mechi 14. Akizungumza…

Read More

Josiah atambia rekodi mpya Dodoma

KOCHA Mkuu wa Dodoma Jiji, Amani Josiah, amesema suluhu (0-0), iliyoipata timu hiyo juzi dhidi ya Simba ni kutokana na wachezaji wa kikosi hicho cha ‘walima Zabibu’, kufuata vyema maelekezo yake ya kucheza kwa nidhamu kubwa na kwa heshima. Akizungumza na Mwanaspoti, Josiah, alisema haikuwa mechi rahisi kutokana na jinsi wapinzani wao walivyokuwa wanacheza, ingawa…

Read More

Kapinga: Mfumo wa stakabadhi za ghala nguzo ya utekelezaji wa dira ya Maendeleo 2050

Serikali imesisitiza kuwa mfumo wa stakabadhi za ghala ni muhimu na kichochezi kuelekea utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Huku ikiendelea kuchukua hatua madhubuti kuhakikisha  kunafanyika urasimishaji wa bidhaa za Tanzania kupitia mfumo wa stakabadhi za ghala, ili kuongeza thamani ya mazao ya kilimo, kulinda masilahi ya wakulima, kuongeza ajira kwa vijana na…

Read More

Magari Yaponea Chupu Chupu Baada ya Barabara Kupasuka!

Global Publishers February 26, 2026 0 Comments Magari mawili  yameponea chupuchupu  kuzama kwenye shimo kubwa lililofunguka ghafla kwenye makutano ya barabara katika Jimbo la Nebraska, Marekani, Februari 24. Kwa mujibu wa video ya kamera ya trafiki, magari hayo yalikuwa yamesimama kwa utulivu yakisubiri taa za kuongozea magari zibadilike. Hata hivyo, bila dalili yoyote ya hatari,…

Read More