Video: Waziri Mkuu Mwigulu – ”Mtauana Bure Ardhi Haiongezeki”
Bakari Mahundu February 26, 2026 0 Comments Leo Februari 26, 2026, Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Manyara, wilayani Kiteto, ambako amewahutubia wananchi, kusikiliza kero zao na kuzitolea ufumbuzi. Katika mkutano huo, mwananchi Ngobi Zuberi aliibua kero akidai wafugaji kulisha mifugo kwenye shamba lake lote hali iliyosababisha kushindwa kuvuna chochote….